Posted By Posted On

Photos from YuzoSports’s post

📝DEAL DONE: Kocha mkongwe nchini Kenya, Jacob “Ghost” Mulee ametangazwa kuwa kocha mpya wa kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya “Harambee Stars” akichukua mikoba ya Francis Kimanzi aliyetimuliwa.

Mulee aliwahi kuiongoza Kenya kwenye fainali za #AFCON mwaka 2004 nchini Tunisia.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *