Posted By Posted On

Photos from YuzoSports’s post

Kesho ni vita ya Yanga SC dhidi ya Polisi Tanzania, ambapo nyasi za Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, zitawaka moto.

Vijana hao wa Jangwani, leo wamefanya mazoezi ya mwishomwisho katika uwanja huo wa Uhuru kabla ya kuumana na maafande hao majira ya saa 10:00 jioni.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *