Posted By Posted On

Shirikisho la Soka nchini Kenya limemtangaza Jacob Mulee ‘Ghost’ kama Kocha Mkuu wa timu yao ya Taifa, ‘Harambee Stars’ kwa …

Shirikisho la Soka nchini Kenya limemtangaza Jacob Mulee ‘Ghost’ kama Kocha Mkuu wa timu yao ya Taifa, ‘Harambee Stars’ kwa mkataba wa miaka mitatu.
Mchezo wake wa kwanza kusimamia akiwa na Harambee Stars itakuwa ni dhidi ya Comoros mwezi Novemba 11, 2020 (nyumbani ) na kisha kurudiana nao Novemba 15, (ugenini ).

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *