Posted By Posted On

Tangu Kuanza kwa mwaka 2020 Real Madrid haijawahi kuruhusu magoli matatu kwenye kipindi cha kwanza kwenye michezo yote iliyochez…

Tangu Kuanza kwa mwaka 2020 Real Madrid haijawahi kuruhusu magoli matatu kwenye kipindi cha kwanza kwenye michezo yote iliyocheza

Kipigo kikubwa kuwahi kupata tangu kuanza kwa mwaka huu ni 4-2 walipofungwa na Real Sociedad Februari 6, 2020.
.
#M9Updates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *