CHRISS MUGALU: Nisipofunga huwa nakosa raha kabisa
MSIMU uliopita Simba walimaliza Ligi Kuu Bara wakiwa na mabao 78 ya kufunga ambayo yalichagizwa na kasi ya mastraika wawili – nahodha John Bocco na Meddie Kagere ambaye aliibuka kuwa mfungaji bora akiwa na mabao 22.,Read More
Comments (0)