Posted By Posted On

Cristiano Ronaldo amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kupimwa kwa mara ya pili na hivyo atakosa mechi ya klabu …

Cristiano Ronaldo amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kupimwa kwa mara ya pili na hivyo atakosa mechi ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Barcelona Jumatano ijayo Oktoba 28.

Kwa mujibu wa kanuni za UEFA, mchezaji anatakiwa kuwa ‘negative’ wiki moja kabla ya mechi

Ronaldo alitangazwa kuwa na maambukizi hayo kwa mara ya kwanza Oktoba 13, na sasa amekutwa bado ana maambukizi hayo wiki moja baadae.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *