Guardiola amtumia ujumbe Van Dijk
MANCHESTER, ENGLAND. KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola ametumia ujumbe wa kumfariji beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk baada ya kuumia goti na kulazimika kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu.,Read More
Comments (0)