Kaze awafunika, Zahera, Zlatko
USHINDI iliyopata Yanga leo kwenye mchezo wao dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam umemfanya Kocha wake, Cedric Kaze kuwafunika watangulizi wake ndani ya timu hiyo akiwamo Mwinyi Zahera, Luc Eymael na Zlatko Krmpotic kwa kuanza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu kwa kishindo.,Read More
Comments (0)