Posted By Posted On

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Uganda “Uganda Cranes” leo saa 9:00am atataja majina ya wachezaji watakaounda kikosi cha timu ya …

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Uganda “Uganda Cranes” leo saa 9:00am atataja majina ya wachezaji watakaounda kikosi cha timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa ajili ya michezo miwili ya kuwania kufuzu AFCON 2021 dhidi ya South Sudan.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *