Posted By Posted On

Kocha wa Everton, Carlo Ancelotti amethibitisha, James Rodriguez atakosekana katika mechi ya Premier League dhidi ya Southampto…

Kocha wa Everton, Carlo Ancelotti amethibitisha, James Rodriguez atakosekana katika mechi ya Premier League dhidi ya Southampton siku ya Jumapili.

Rodriguez aliumia katika mechi ya Premier League dhidi ya Liverpool alipokuwa akikabiriana na beki Virgil Van Dijk.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *