
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amethibitisha kwamba kiungo Fernandinho atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 4 mpaka 6…
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amethibitisha kwamba kiungo Fernandinho atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 4 mpaka 6 baada ya kuumia katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Porto.
,
Comments (0)