LIVERPOOL YAWACHAPA AJAX 1-0 AMSTERDAM BAO LA KUJIFUNGA WENYEWE
Wachezaji wa Liverpool (kulia) wakishangilia baada ya Nicolas Tagliafico kujifunga dakika ya 35 kuwapa ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam PICHA ZAIDI GONGA HAPA
,
Comments (0)