Posted By Posted On

Mchezo wa marudiano nusu fainali ligi ya mabingwa Afrika kati ya Zamalek dhidi ya Raja Club Athletic sasa utapigwa mnamo 31 Octo…

Mchezo wa marudiano nusu fainali ligi ya mabingwa Afrika kati ya Zamalek dhidi ya Raja Club Athletic sasa utapigwa mnamo 31 October 2020 huko Cairo, Egypt.

Hiyo ni mara baada ya Raja kuripotiwa kuwa na wagonjwa wengi wa #COVID19

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *