
Photos from Maulid Kitenge’s post
Leo amezaliwa Boss wangu wa zamani @officialcharleshilary Miaka 61 Nkwanga kapiga leo na bado yuko fit kama kazaliwa jana! Siku moja alinambia ndoto yake ni kufanya kazi anayoipenda hii ya Utangazaji mpaka miaka 100. Inawezekana! Nkwanga Bwana!
,
Comments (0)