Prisons yatibua rekodi ya Simba
Prisons imevunja rekodi ya Simba ya kutopoteza mchezo tangu kuanza kwa Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya jana kuifunga bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela Rukwa.,Read More
Comments (0)