Posted By Posted On

REKODI ZA SIMBA VS TZ PRISONS . Rekodi ya mechi tano za mwisho katika Ligi Kuu baina ya Prisons na Simba ambazo Prisons walikuwa…

REKODI ZA SIMBA VS TZ PRISONS
.
Rekodi ya mechi tano za mwisho katika Ligi Kuu baina ya Prisons na Simba ambazo Prisons walikuwa uwanja wa nyumbani

🎯June 28,2020
Prisons 0-0 Simba

🎯May 5, 2019
Prisons 0-1 Simba

🎯Novemba 18, 2017
Prisons 0-1 Simba

🎯Novemba 9, 2016
Prisons 2-1 Simba

🎯Oktoba 21, 2015
Prisons 1-0 Simba
.
REKODI ZA YANGA VS POLISI TANZANIA.
.
Tangu Polisi Tanzania kupanda ligi kuu bara wamekutana na Yanga mara mbili tu na mara zote mbili walizokutana wametoka sare.

🎯Oktober 3, 2019
Yanga 3-3 Polisi Tanzania

🎯Februari 18, 2020
Polisi Tanzania 1-1 Yanga
.
Kwenye ligi kuu 2020/21 Polisi hajapoteza mchezo hata mmoja na kacheza michezo mitano kashinda mitatu na kutoa sare michezo miwili.

Yanga kwenye michezo yake mitano ameshinda mara nne na kutoa sare mara moja

Pengine leo itakuwa mara ya kwanza mmoja kati yao kufungwa.
.
#M9Updates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *