Posted By Posted On

Upamecano kuwa mbadala wa Van Dijk huko Liverpool

BAADA ya beki wao wa kati, Virgil van Dijk kupata majeraha ambayo yatamfanya kukaa nje kwa msimu mzima, ripoti zinadai kwamba Liverpool imeanza harakati za kuiwania saini ya beki wa kati raia wa Ufaransa na RB Leipzig, Dayot Upamecano, 21, ili kuipata huduma yake katika dirisha lijalo la majira ya baridi au kiangazi. Inaaminika, Liver kwa sasa inapambana kuhakikisha inapata mbadala wa Van Dijk ili kuendelea kuimarisha safu yao ya ulinzi ambayo ubora wake ulikuwa unachagizwa zaidi na beki huyo.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *