Posted By Posted On

Bartomeu afanya umafya Barca

BARCELONA, HISPANIA. MAMBO yanazidi kuhairibika pale katika kikosi cha Barcelona ambapo mtafaruku mkubwa umeibuka kati ya wachezaji na rais Josep Maria Bartomeu ambaye amekuwa kwenye harakati za kutaka kupunguza mishahara ya wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa sababu uchumi wa klabu umeyumba na bajeti imepungua kwa asilimia 25, kwa sababu ya janga la mlipuko wa COVID-19.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *