Posted By Posted On

FRIDAY NIGHT FOOTBALL Aston Villa vs Leeds Dean Smith akiwa na rekodi ya 100% ya Ushindi ndani ya EPL msimu huu anamkaribisha …

FRIDAY NIGHT FOOTBALL

Aston Villa vs Leeds

Dean Smith akiwa na rekodi ya 100% ya Ushindi ndani ya EPL msimu huu anamkaribisha Master Biesla ndani ya Villa Park.

Villa msimu huu ameshinda mechi zote 4 alizocheza huku akiwa na clean sheet 3. Leeds wamefunga magoli 9 na wamefungwa magoli 9 wakiwa na pointi 7.

Aston Villa hajapoteza kwenye mechi 8 za EPL mfululizo akishinda 6 na sare 2 na kama akishinda leo atakaa juu ya msimamo wa EPL kwa mara ya kwanza tangu Agosti 2011.

Je Aston Villa wataendeleza ubabe?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *