Posted By Posted On

Jide One Time freshi!

HUKO mtandaoni kulichafuka, baada ya kuzuka kwa taarifa kwamba Comando, Lady Jaydee ukipenda muite Jide goma lake jipya la One Time limepigwa pini, lakini Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), limekata mzizi wa fitina na kuweka bayana kwamba hakuna kitu kama hicho.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *