Posted By Posted On

Kamati ya sheriw na nidhamu ya klabu ya Yanga imemsimamisha uanachama Bi Bahati Mwakalinga alimaarufu mama mama Manji kujihusish…

Kamati ya sheriw na nidhamu ya klabu ya Yanga imemsimamisha uanachama Bi Bahati Mwakalinga alimaarufu mama mama Manji kujihusisha na shughuli zot zozote za klabu ya Yanga kwa kipindi cha miaka miwili kuanzia leo tarehe 23/10/2020 kwa kosa la kutoa maneno ya uongo na yasiyo ya Staha, ya kuudhi na uchochezi dhidi ya mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *