Posted By Posted On

Klabu ya Asante Kotoko ya Ghana imenasa saini ya kiungo wa kimataifa wa Brazil, Fabio Dos Santos Gama. Kiungo huyo wa zamani w…

Klabu ya Asante Kotoko ya Ghana imenasa saini ya kiungo wa kimataifa wa Brazil, Fabio Dos Santos Gama.

Kiungo huyo wa zamani wa wa timu ya Taifa ya Brazil U 17 , U 20 na klabu ya Jönköping Södra ( Sweden ) amesaini mkataba wa miaka 2 kuitumikia klabu hiyo.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *