Posted By Posted On

Klabu ya St George ya Ethiopia imemtangaza kocha Ernest Midendorp raia wa ujerumani kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo. Kocha Erne…

Klabu ya St George ya Ethiopia imemtangaza kocha Ernest Midendorp raia wa ujerumani kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo.

Kocha Ernest amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuifundisha klabu hiyo akitokea kaizer Chiefs Afrika Kusini.

#sokaplaceupdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *