Posted By Posted On

Kocha Mkuu wa KMC Habibu Kondo ameahidi kuwapa burudani wana Mwanza kuelekea mchezo wao wa jumapili dhidi ya Yanga utakaochezwa …

Kocha Mkuu wa KMC Habibu Kondo ameahidi kuwapa burudani wana Mwanza kuelekea mchezo wao wa jumapili dhidi ya Yanga utakaochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
..
โ€œWachezaji wote wapo tayari kwa mchezo tofauti na Sadala Lipangile ambaye bado hajawa fiti kwa asilimia mia lakini wengine wote wapo vizuri na tunaenda Mwanza kutoa burudani kwa mashabiki wetu wa Kanda ya Ziwa kwani ni muda mrefu umepita hatujacheza kule,โ€ alisema Kondo

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *