
MBEYA CITY NDANI YA KAITABA Mbeya City imeshafika mjini Bukoba na kufanikiwa kufanya mazoezi ya mwisho leo dimbani Kaitaba, iki…
MBEYA CITY NDANI YA KAITABA
Mbeya City imeshafika mjini Bukoba na kufanikiwa kufanya mazoezi ya mwisho leo dimbani Kaitaba, ikiwa imesalia siku moja kabla ya kuvaana na wenyeji wao Kagera Sugar.
Mchezo huo wa VPL raundi ya nane utapigwa kesho Oktoba 24, saa 10:00 jioni na utakuwa #Live ZBC2
#VPL2020/2021 #KageraSugarVsMbeyaCity #Kaitaba
#ZBC2 #AzamSports1HD #AzamSports2HD @officialmbeyacityfc @kagerasugarfcofficial
,
Comments (0)