Posted By Posted On

Ole aelezea sakata la Greenwood

MANCHESTER, ENGLAND. ISHU kumbe ipo hivi, kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amefunguka juu ya kitendo chake cha kumuondoa kikosini staa wake, Mason Greenwood ambaye hakucheza kwenye mchezo na Newcastle ambapo Man United ilishida mabao 4-1 sambamba na ule wa PSG ambapo pia ilishinda mabao 2-1.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *