Posted By Posted On

“Uongozi wa Yanga popote mlipo mtatua mashabiki wenu jamani, tunanunua mchezaji kwa bei kubwa, tunampokea uwanja wa ndege kwa mb…

“Uongozi wa Yanga popote mlipo mtatua mashabiki wenu jamani, tunanunua mchezaji kwa bei kubwa, tunampokea uwanja wa ndege kwa mbwembwe, dakika ya mwisho hali ndiyo hii, tafadhali kuhujumu uchumi sio kuiba hela tu hata hili mnaloliona, kuna watu watawajibika Wema Sepetu endelea nakwambia” – Steve Nyerere kuhusu ukaribu wa Wema Sepetu na Carlinhos wa Yanga.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *