Posted By Posted On

Usiwe mwenye kulalamika kutokana na mitihani inayokukumba na kuona kana kwamba Allah kakuonea kwanini wewe tu kila siku…

Usiwe mwenye kulalamika kutokana na mitihani inayokukumba na kuona kana kwamba Allah kakuonea kwanini wewe tu kila siku.

Labda nikwambie kitu kwenye dunia hii Hakuna aliyesalimika na matatizo kabisaa.

Kuna mwenye pesa lakini ana mtihani wa maradhi kila mmoja ana matatizo yake tofauti, tumezidiana tu.

Kwa hivyo kuwa na subra na kuwa na yakini kwamba sio kila mitihani ni kukunyima furaha yako mingine huwa imebeba kheri ndani yake.

Subiri ili upate kuona kheri iliyojificha.

MOLA WETU TUSAIDIE, IJUMAA Maqboul.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *