
AL AHLY YATANGULIA FAINALI YAMSUBIRI RAJA AU ZAMALEK Timu ya Al Ahly wametinga fainali baada ya ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya W…
AL AHLY YATANGULIA FAINALI YAMSUBIRI RAJA AU ZAMALEK
Timu ya Al Ahly wametinga fainali baada ya ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Wydad Casablanka na sasa anamsubiri mshindi baina ya Zamalek Raja Casablanka.
Mchezo wa kwanza Al Ahly ilishinda mabao 2-0 na mchezo wa nyumbani mabao 3-1 hivyo ametangulia fainali.
Nusu fainali ya pili, Zamalek ameshinda mchezo wa kwanza bao 1-0 dhidi ya Raja Casablanca na sasa unasubiriwa mchezo wa pili.
,
Comments (0)