
CAVANI KUIVAA CHELSEA Kocha wa Man Utd, Ole Gunnar Solskjaer amesema mshambuliaji mpya wa timu hiyo Edinson Cavani atacheza mch…
CAVANI KUIVAA CHELSEA
Kocha wa Man Utd, Ole Gunnar Solskjaer amesema mshambuliaji mpya wa timu hiyo Edinson Cavani atacheza mchezo wa leo wa Premier League dhidi ya Chelsea FC.
,
Comments (0)