Posted By Posted On

#DealDone Kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba, Sharaf Eldin Shiboub raia wa Sudan ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Klab…

#DealDone
Kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba, Sharaf Eldin Shiboub raia wa Sudan ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Klabu ya CS Constantine ya Algeria kwa mkataba wa miaka miwili.
#sportskitaa

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *