KMC: Yanga tunajua pa kuwabana
JUZI Yanga ikiongozwa kwa mara ya kwanza na kocha wake mpya, Cedrick Kaze iliweza kuwatia adabu Polisi Tanzania kwa kuwalaza bao 1-0, lakini sasa hao KMC wamesema wamewaona wapinzani wao hao na kubaini wapi wawabane.,Read More
Comments (0)