
Kwa mara ya kwanza kocha wa Man City, Pep Guardiola amepata pointi chache zaidi katika historia ya maisha yake akiwa kocha katik…
Kwa mara ya kwanza kocha wa Man City, Pep Guardiola amepata pointi chache zaidi katika historia ya maisha yake akiwa kocha katika mechi 5 za kwanza za Ligi Kuu baada ya kushinda mechi 2,sare 2 na kupoteza mechi 1.
Mechi – 5️⃣
Pointi – 8️⃣
,
Comments (0)