Posted By Posted On

LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-1


Diogo Jota (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakika ya 64 ikiwalaza Sheffield United 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Sheffield United ilitangulia kwa bao la Sander Berge kwa penalti dakika ya 13, kabla ya Roberto Firmino kuisawazishia Liverpool dakika ya 41 na Mohammed Salah akafunga bao zuri kipindi cha pili ambalo VAR ilionyesha ameotea likakataliwa
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *