Posted By Posted On

MANCHESTER CITY WALAZIMISHA SARE YA 1-1 KWA WEST HAM


Michail Antonio akibinuka tik tak kumtungua kipa wa Manchester City, Ederson Moraes dakika ya 18 baada ya krosi ya Jarrod Bowen kuipatia wa West Ham United bao la kuongoza kabla ya Phil Foden kuwasawazishia wageni dakika ya 51, timu hizo zikitoka sare ya 1-1 Uwanja wa London
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *