Posted By Posted On

MASHABIKI YANGA WALIAMSHA MWANZA

Msomaji wa Yanganews Blog:Hivi ndivyo Yanga SC ilivyopokewa na mashabiki wake katika jiji lililojaaliwa mawe mengi Mwanza walipotua mapema leo. Timu hiyo imefika jijini humo kuvaana na vijana wa Manispaa ya Kinondoni (KMC) kwenye mchezo wa VPL hapo kesho Oktoba 25.

Mechi hiyo itachezwa saa 10:00 jioni.

Β 

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *