Moto wa Partey Arsenal wamkosha Arteta
LONDON, ENGLAND. MIKEL Arteta amemwaga sifa tele kwa kiungo wake mpya Thomas Partey kwa kile alichokifanya kwenye mchezo wake wa kwanza kuanzishwa kwenye kikosi cha Arsenal aliocheza kwa dakika zote wakati miamba hiyo ya Emirates ilipotokea nyuma na kuichapa Rapid Vienna ugenini kwenye mikikimikiki ya Europa League.,Read More
Comments (0)