Posted By Posted On

Photos from SokaPlace’s post

Waziri wa habari sanaa utamaduni Na michezo, Dk Harrison George mwakyembe leo amekabidhi Vifaa vya michezo kwa Timu NNE za jiji la Mbeya Terminal FC, Uyole FC, Itezi united na Nane nane fc kwenye bonanza maalum la siku mbili lililokamilika Jioni ya Leo Uwanja wa Uyole ya kati

Jirani Mtembezi
Mrefa Mbeya
#sokaplaceupdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *