
Raundi ya 8 ya Ligi kuu ya Vodacom mchezo wa kesho. KMC FC Vs Yanga Sc KMC “Kino boys” kupepetana na Wananchi Yanga SC. Je KM…
Raundi ya 8 ya Ligi kuu ya Vodacom mchezo wa kesho.
KMC FC Vs Yanga Sc
KMC “Kino boys” kupepetana na Wananchi Yanga SC. Je KMC watamsimamisha Wananchi ama Wananchi kuendeleza wimbi la ushindi?
Usikose mtanange huu siku ya kesho kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.
,
Comments (0)