Posted By Posted On

Robert Lewandowski kafanikiwa kufunga hat trick dhidi ya Frankfurt kwenye mchezo wa Bundesliga na kufanya afikishe magoli 10 kwe…

Robert Lewandowski kafanikiwa kufunga hat trick dhidi ya Frankfurt kwenye mchezo wa Bundesliga na kufanya afikishe magoli 10 kwenye michezo 4 ya Bundesliga msimu huu pia ameshatoa pasi 3 za magoli.

88′
Bayern Munchen 4-0 Eintracht Frankfurt
Goals: Lewandowski 10′ 26′ 61′, Sane 73′

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *