Posted By Posted On

FT| KMC 1-2 Yanga . 🎯Waziri Junior anatakiwa apewe nafasi zaidi, huwenda akawa suluhisho la Yanga kufunga kupitia washambiliaji….

FT| KMC 1-2 Yanga
.
🎯Waziri Junior anatakiwa apewe nafasi zaidi, huwenda akawa suluhisho la Yanga kufunga kupitia washambiliaji.
.
🎯Kuhamahama viwanja kunaondoa Ladha ya ligi na kuifanya ionekane Kama BONANZA. Iweje Timu ya
Kinondoni icheze nyumbani Mwanza.?
.
🎯Shirikisho liongeze semina za waamuzi na waamuzi wanapaswa kutazama sana mechi za nje Ili kujifunza kesi nyingi za nje.
.
🎯Cedric Kaze ana kitu lakini Yanga wanahitaji kumpa muda zaidi walau apate kikosi cha kwanza.
.
🎯KMC wanaonekana kuwa na muunganiko na wamezoeana sana, Hii ina maanisha ligi ngumu na timu bora pekee ndio zitashinda.
.
#M9Updates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *