LA LIGA; EL Clasico bado ni mechi kubwa duniani?
Wikiendi hii Barcelona walikuwa wenyeji wa Real Madrid katika mchezo wa 7 wa Ligi Kuu Hispania kwenye uwanja wa Camp Nou. Mchezo huo uliomalizika kwa Real Madrid kuichapa Barcelona kwa mabao 3-1 yaliyofungwa na Federico Valverde, Sergio Ramos na Luka Modric. Wakati bao la kufutia machozi la Barcelona lilifungwa na kinda Ansu Fati. El Clasico mara nyingi imechukuliwa kama mechi kubwa duniani.
,
Comments (0)