Posted By Posted On

Lampard awashushia lawama waamuzi

MANCHESTER, ENGLAND. KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard anaamini timu yake ilistahili  kupewa penalti  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya  Manchester United  kutokana na faulo ambayo Harry Maguire  alimchezea beki wake  Cesar Azpilicueta.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *