Posted By Posted On

“Mwaka juzi tulipoteza na Mbao ktk raundi za mwanzo mwanzo za ligi kuu kule Mwanza,,nakumbuka hadi Chupa za Maji tulirushiwa pal…

“Mwaka juzi tulipoteza na Mbao ktk raundi za mwanzo mwanzo za ligi kuu kule Mwanza,,nakumbuka hadi Chupa za Maji tulirushiwa pale kirumba!!

Halikadhalika msimu uliopita tulifungwa na Mwadui mwanzoni kabisa mwa msimu,,tukaaambiwa tunaachia ubingwa,,,Mwisho wa msimu tukawa bingwa Kwa tofauti ya Points ambazo ni Rekodi ya Tanzania!!!

Nn maana yangu? Tunakwenda kushinda game ishirini mfululizo za ligi kuu kutokea Jumatatu, after hzo game tutapiga hesabu zetu vzuri kabisa!!!

Sure yangu ni kwamba tutakuwa Bingwa wa taifa hili hadi 2028, halaf tutaamua tufanyaje!!”

-Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *