Posted By Posted On

Photos from VIWANJANI LEO’s post

-Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza Timu ambazo zitashiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika (CAF Champion League) na Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kwa Tanzania Simba SC itashiriki CAF Champion League huku Namungo FC itashiriki CAF Confederation Cup.

-Wakati CAF ikitaja Timu ambazo zitashiriki michuano hiyo Klabu ya Simba imeshatuma majina ya wachezaji 25 kwa ajili ya michuano ya Klabu bingwa Afrika.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *