Posted By Posted On

Polisi Vs Biashara United . Baada ya kupoteza mchezo wa pili kwenye Ligi Polisi Tanzania wanakutana na tiku ngumu ya Biashara Un…

Polisi Vs Biashara United
.
Baada ya kupoteza mchezo wa pili kwenye Ligi Polisi Tanzania wanakutana na tiku ngumu ya Biashara United ambayo imepoteza michezo miwili pia kwenye ligi kuu bara tena kwenye viwanja vya ugenini,wamekutana mara 2 na Polisi wameshinda mara moja huku wakitoka sare mara moja na leo Biashara wanatakiwa kuweka historia.

Mwadui Vs JKT Tanzania

Mwadui wapo kwenye ligi lakini hawazungimzi sana wameshinda michezo mitatu kati ya mitano waliocheza wapo kwenye nafasi ya 12 huku wapinzani wao JKT Tanzania wameshinda mara moja tu tangu kuanza kwa ligi kuu bara, uzuri ni kwamba JKT ameshinda mara 2 kati ya mara 4 walizokutana huku mara mbili wakitoka sare.
.
#M9Maktaba

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *