Posted By Posted On

Raundi ya 8 ya Ligi kuu ya Vodacom kuendelea kushika kasi leo. Polisi Tanzania baada ya kupoteza mchezo uliopita watakuwa dimb…

Raundi ya 8 ya Ligi kuu ya Vodacom kuendelea kushika kasi leo.

Polisi Tanzania baada ya kupoteza mchezo uliopita watakuwa dimba la nyumbani kupepetana na Biashara United? Je Polisi kupoteza tena ama kurekebisha makosa na kuibuka na ushindi

KMC “Kino boys” wapo dimba la CCM Kirumba kuwakabiri Wananchi Yanga SC. Je KMC kuwasimamisha Wananchi ama Wananchi kuendeleza wimbi la ushindi?

Mwadui Fc watawakaribisha JKT Tanzania katika dimba la Mwadui Complex Shinyanga.
Je, nani kuibuka na ushindi siku ya leo?

Weka utabiri wako mapema.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *