Posted By Posted On

Raundi ya 8 ya Ligi kuu ya Vodacom kuendelea kushika kasi leo. Polisi Tanzania baada ya kupoteza mchezo uliopita watakuwa dimb…

Raundi ya 8 ya Ligi kuu ya Vodacom kuendelea kushika kasi leo.

Polisi Tanzania baada ya kupoteza mchezo uliopita watakuwa dimba la nyumbani kupepetana na Biashara United? Je Polisi kupoteza tena ama kurekebisha makosa na kuibuka na ushindi

KMC #Kinoboys wapo dimba la CCM Kirumba kuwakabiri Wananchi Yanga SC. Je KMC kuwasimamisha Wananchi ama Wananchi kuendeleza wimbi la ushindi?

Mapema hakikisha kisimbuzi chako kina kifurushi ili usipitwe na mitanange hii ya VPL
#SisiNiSoka #sokaextra_

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *