
#VPL Adam Adam wa JKT Tanzania ndiye mfungaji wa ‘hat-trick’ ya kwanza msimu huu, akifunga magoli matatu katika ushindi wa 6-1 …
#VPL
Adam Adam wa JKT Tanzania ndiye mfungaji wa ‘hat-trick’ ya kwanza msimu huu, akifunga magoli matatu katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Mwadui FC.
Je, kabla Adam hajafanya hiki, ulitarajia ‘hat-trick’ ya kwanza msimu huu itoke kwa nani?
,
Comments (0)