Posted By Posted On

WAPE MASHAVU. . Kwako mkali wa Dimba, katikati ya uwanja ni salama na hata ukiwa benchi basi wewe ni kupiga jaramba. . Mkali wa …

WAPE MASHAVU.
.
Kwako mkali wa Dimba, katikati ya uwanja ni salama na hata ukiwa benchi basi wewe ni kupiga jaramba.
.
Mkali wa dimba wewe ni alama na ushahidi wa vijana wachache wanaojifunza na kufikia malengo. Mimi Kama “Kocha mchezaji” najivunia uwepo wako na najivunia sana unavyochanja mbunga. Hii inanipa nguvu na kutokukata tamaa kuwashika wengine na kuchanja nao mbuga.
.
Wasikilizaji umewapa kitu roho inapenda aina yako ya utangazaji ni mkusanyiko wa ladha nyingi ikiwemo ya kocha mchezaji. Kaza buti mwanangu.
.
Kwenu wasikilizaji wa vipindi vya michezo vya Wasafi Media nawakabidhi kwenu Mkali wa Dimba na muishi nae namna mpendavyo.
.
Afanye nini cha ziada..?
.
Cc: @paulmkaitz
.
#WapeMashavuWana

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *